Sherehe Arts Association {SAA} Msafiri Photo & Video Production walihusika kuchukua kumbukumbu za semina |
Mwenyekiti wa chama Guydon Lukuwi akiongea jambo |
Katibu mkuu Brayson Makena akimkabidhi Risala mgeni Rasmi |
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mh.Ahmed Kipozi ndiye aliyefungua semina |
Mwenyekiti wa chama akimkabidhi mgeni rasmi Katiba ya Chama cha SAA |
Mlezi wa chama William Chitanda akitoa neno la Shukrani kwa mgeni rasmi Mh.Ahmed Kipozi. |
Ukafika wakati wa kukata Keki |
Ukafika wakati wa kukata Keki |
Picha ya pamoja na mgeni rasmi wanawake tu |
Picha ya pamoja na mgeni Rasmi wanaume tu |
Mgeni rasmi akiagana na wanachama baada ya kufungua Semina |
Katibu mkuu wa chama Brayson Makena ambaye pia alikuwa mtoa mada |
Dorca naye alituandalia somo |
Mkurugenzi wa Dorca Company Group naye alitoa neno |
MC Brigitee Mweka hazina msaidizi |
Mc Columba Samjela |
Mc Cheni |
Mc Jimmy |
Mmiliki wa Hotel tulipofanyia semina akishukuru kwa wanachama |
Mlezi wa chama Mackie Godwin Mdachi |
Makamu mwenyekiti wa chama Steven Mwakajumba |
Father Likoko akitoa Mada |
Katibu mkuu wa chama Brayson Makena |
Kamati ya maandalizi ya Semina |
0 comments:
Post a Comment