| Sherehe Arts Association {SAA} Msafiri Photo & Video Production walihusika kuchukua kumbukumbu za semina |
![]() |
| Mwenyekiti wa chama Guydon Lukuwi akiongea jambo |
![]() |
| Katibu mkuu Brayson Makena akimkabidhi Risala mgeni Rasmi |
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mh.Ahmed Kipozi ndiye aliyefungua semina |
![]() |
| Mwenyekiti wa chama akimkabidhi mgeni rasmi Katiba ya Chama cha SAA |
| Mlezi wa chama William Chitanda akitoa neno la Shukrani kwa mgeni rasmi Mh.Ahmed Kipozi. |
| Ukafika wakati wa kukata Keki |
![]() |
| Ukafika wakati wa kukata Keki |
![]() |
![]() |
| Picha ya pamoja na mgeni rasmi wanawake tu |
| Picha ya pamoja na mgeni Rasmi wanaume tu |
![]() |
| Mgeni rasmi akiagana na wanachama baada ya kufungua Semina |
![]() |
| Katibu mkuu wa chama Brayson Makena ambaye pia alikuwa mtoa mada |
![]() |
| Dorca naye alituandalia somo |
![]() |
| Mkurugenzi wa Dorca Company Group naye alitoa neno |
| MC Brigitee Mweka hazina msaidizi |
| Mc Columba Samjela |
| Mc Cheni |
| Mc Jimmy |
![]() |
| Mmiliki wa Hotel tulipofanyia semina akishukuru kwa wanachama |
![]() |
| Mlezi wa chama Mackie Godwin Mdachi |
![]() |
| Makamu mwenyekiti wa chama Steven Mwakajumba |
![]() |
| Father Likoko akitoa Mada |
![]() |
| Katibu mkuu wa chama Brayson Makena |
![]() |
![]() |
| Kamati ya maandalizi ya Semina |











































































