|
Mambo ya Saloon hayo |
|
Hawa watoto walifurahisha sana ukumbini hasa namna ya kutembea kwa madaha |
|
Bibi harusi na Matron wake |
|
Tabasamu mwanzo Mwisho |
Bibi harusi kwa mapozi ni sheeeder
|
Huyu ndiye aliyechukua kumbukumbu zote Msafiri Video Production kwa mawasiliano 0713-608192 |
|
Mc chipolopolo ndiye aliyeendesha Harusi hii kwa mawasiliano 0714784744 |
Hapa akionesha namna nywele zilivyobanwa kwa ustadi wa hali ya juu
|
Hapa akiondoka saloon tayari kwenda kanisani |
|
Ndio anaingia kanisani |
|
Hapa sasa yuko na Big Bwana harusi |
|
Keki time |
|
Shampen time |
|
Shampen time |
0 comments:
Post a Comment