Friday, 23 September 2016

Maharusi wetu Festo na Theresia mlipendeza sanaa 

Wedding ceremony Festo &Theresia 

Date: 3rd September 2016 

Ukumbi: Urafiki Hall Dar es salaam

Photos By:Msafiri Media production
 Maharusi mlipendeza sanaa

 Bi harusi na mamess mlipendeza sanaaa

 Mamess na biharusi mlinogaaa sanaa

 Maharusi wakiingia ukumbini

 Maharusi wakiwaaga wageni waalikwaa

Ukihitaji picha kama hizi tafadhali tupigie


Thursday, 22 September 2016


 
Send off Party Theresia Dinghoka

Ukumbi: Kwalalumpa Hall Sinza Dar es salaam 

Date:1st September 2016 

Photo By: Msafiri Media production
 

 

 

 Bi harusi mtarajiwa Theresia akiingia  ukumbini umependeza sana




 
Bi harusi mtarajiwa akicheza na mtarajiwa wake




 Wageni waalikwa waicheza muziki


 Mtarajiwa wa bi harusi







 Bi harusi mtarajiwa akitoka ukumbini akiwaaga wageni waalikwa 

 Ukihitaji picha kama hizi usisite kutupigia